Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani kuna watu huwa wanaonekana huku kwa Makapuku tu.

...huku unapata kila kitu, kuna siasa za siasa na siasa za kimwili, kuna uchumi wa fedha na kuna uchumi wa kuchumiana, kuna maarifa ya kujifunza na maarifa ya kuarifu. Sasa huko kwingine ni kama msomi mbobezi, wanaongelea mada moja tu lakini hapa ni kama general hospital au kokoro, kila unachohitaji unakipata na usichokihitaji usikitupe wenzako wanakihitaji
 
Nawatakia kila mmoja kwa nafasi yake, wiki njema yenye mafanikio. Hapa ni sehemu nzuri kwa sababu wewe mdau wa Jukwaa hili upo hapa
great_week_sunset.gif
 
TUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu Tunakushukuru sana kwa yote unayotutendea,Asante kutuamsha salama leo tarehe 17 Jumatatu Septemba 2018 Tunaomba endelea kutusamehe, kutupigania ..ponya wagonjwa ,ponya mioyo iliyopondeka ..angalia wajane,wagane ,yatima na waliopoteza tumaini tusaidie tuweze kusema ndiyo kwa upendo wako mkuu na kukutumainia .
Tuimarishe imani zetu na endelea kutuongoza mioyo yetu ikutukuze wewe.
Tunaomba utusaidie katika mapito yetu imarisha uchumi wetu,bariki kazi za mikono yetu zizae matunda ya kukupendeza .
Wasaidie watoto na wajukuu wetu wakujue na kukutegemea wewe tu ,wakukabidhi maisha yao yote..wakupende na kuujua upendo wako wa milele.
Asante Baba kwa msamaha na huruma yako Mungu wetu umekua kimbilio letu na haujawahi kutuacha.endelea kuwafariji wafiwa,wenye changamoto mbalimbali tusaidie tuimarike katika kukutegemea.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu Adui ashindwe katika jina la Yesu Kristo Damu ya Yesu inene mema katika kila tunalopitia tunaomba na kuamini katika jina la Yesu Kristo Amen.

JUMATATU NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Ameni
 
Amen

Similar Discussions

Back
Top Bottom