Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Wala usijali mkuuHapana na wala sijasema kwa ubaya. I am sorry if you feel offended.
Wengine tumepiliwa misumari hapa
Karibu sana
Wala usijali mkuuHapana na wala sijasema kwa ubaya. I am sorry if you feel offended.

Washaunganisha bwanaa....Malcom Lumumba ule uzi wetu wa movies hawa mods sijui waliunga wapi tu.
Jana nimecheki MI: Fallout kuna kachina kalitoa dozi sehemu kwa Ethan Hunt😀![]()
NOVA na HALO naona kama yanafanana hivi main character wake!.FPS mzee.
NOVA=Near Orbit Vanguard Alliance
Teh teh teh teh teh daaaah.
HALO master chief ataachwaje tene.
Strategy nazikubali sana, nilikuwa nacheza sana Command and Conquer na Ages of Empires....
Hawa mods ni shida sana, niliutafuta nikaukosa.Washaunganisha bwanaa....
Hahahahaha ,iasee hawa ni mwendokasi.
Sijawahi liona hilo au ndio ZOMBIE KILL ZONE!?..Zinafanana sana, sanaa.
Kama Tekken na Street Fighter.
Kuna moja linaitwa Kill-Zone ni balaa.
Hii ya saa hizi eeeh ?Hawa mods ni shida sana, niliutafuta nikaukosa.
Kama bado icheki Mission Impossible ipo poa sana!..
Hilo ni mutated humans.Sijawahi liona hilo au ndio ZOMBIE KILL ZONE!?..
Predator bado cuz.Hii ya saa hizi eeeh ?
Predator uliicheki aisee.
Aah nitalicheki!...Hilo ni mutated humans.
Balaaaa sana. Lilikuwa kwenye PS 2
Nilipanga kuja this week lakini nkashindwa,Predator bado cuz.
Next week lazima niicheki.
Wazee wa migo migo kumbe na nyie ni wapenzi wa movie
watu tuna vilibrary mzee!.. Ukija unaweza tamani ulale!.😀Kuna jingine hivi linaitwa Metal Gear.Aah nitalicheki!...
Ngoja niwacheki Cinemax lini wanaipremier tena!.Nilipanga kuja this week lakini nkashindwa,
Hopefully next week ntakuwepo Daslam..
Hili Metal Gear ndio ile movie yake!?..Kuna jingine hivi linaitwa Metal Gear.
Aisee ni habari nyingineee..
Movie sikuangalia mzeeHili Metal Gear ndio ile movie yake!?..
Zawadi anapata ni yy tu kusema nimpe kwa njia atoe maelekezoKesho mkuu
Nikutumie kwa njia ganiHaya naomba zawadi