Makapuku Forum

Makapuku Forum

....nimeweka kwapani mengi tu mbona. Umesahau hakuna anayejua siku ile umeenda kumsajiri yule miss bombadia kumbe tayari ashasajiriwa tyari, vurugu lae nishukuru nilikuja na msafara wa kamando siroz
 
....yaani sio dubwaaaaaa ni chubwiiiiiiiiiii maji yanaruka na sauti za prakatarumbaaaa atumbaaaa zinasikika kuongeza ladha
tenor.gif
 
makaveli10 nilimtishia kuwa nimemfanyia tego mpenzi wangu kwa hiyo tusilaumiane, yaani hata akipeleka kidole pendwa kinanasa. Sitaki mchezo mimi, ukijidai kupima oil kuangalia friction itakuwaje imekula kwako.

na ile dawa mganga alikufa akanipa sharti moja tu, kumsaidia aliyenasiana ni kumkata kiungo kilichonasia, siku akianzia chumvini ninakuja na msumeno
 
....anko wangu mkubwa ana tabia kama za mdogo wake, tunafanana sasa si unajua mambo ya ukoo tena mjomba.

BTW, anko mkubwa, yule anko wangu aliye rafiki yangu kabisa, sio wewe maana wewe tunakuitaga Robert Mugabe kwa kupenda dogodogo.

Yule anko wangua anayejulikana humu katekwa na mwanamke asiyejulikana, nitaweka picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom