Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,546
[emoji23] [emoji23] [emoji23].....nami nakusalimia aunty yangu. Hujambo lakini.
Nipo hapa nimepumzika maana jua lilikuwa kali sana hadi paka wa jirani kakataa maziwa anataka icecream za Azam