Makapuku Forum

Makapuku Forum

makaveli10 nilimtishia kuwa nimemfanyia tego mpenzi wangu kwa hiyo tusilaumiane, yaani hata akipeleka kidole pendwa kinanasa. Sitaki mchezo mimi, ukijidai kupima oil kuangalia friction itakuwaje imekula kwako.

na ile dawa mganga alikufa akanipa sharti moja tu, kumsaidia aliyenasiana ni kumkata kiungo kilichonasia, siku akianzia chumvini ninakuja na msumeno
Sawa sawa kumbe ana onyo
 
giphy.gif
Ahahhahahhah
 
....anko wangu mkubwa ana tabia kama za mdogo wake, tunafanana sasa si unajua mambo ya ukoo tena mjomba.

BTW, anko mkubwa, yule anko wangu aliye rafiki yangu kabisa, sio wewe maana wewe tunakuitaga Robert Mugabe kwa kupenda dogodogo.

Yule anko wangua anayejulikana humu katekwa na mwanamke asiyejulikana, nitaweka picha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
...nimemuona tu Maka throwing kisses to my apple pie husna muba utasema anko Magu akipiga pushups kwenye kampeni.

Ila ujue nini, Husna na mimi yaani Husobe ni ngumu sana kututenganisha, at least for now. Hivyo usiogope sana aunty na ninashukuru kwa kuliona hilo
[emoji4] [emoji4] [emoji4]

I love you

Husobe[emoji179] [emoji179]
 
...Dar hawafiki bhana, wakifika chalinze wanachepuka unawahesabu kuanzia hapo hadi Kishumundu Moshi. Hapa nataja trip za 'kikazi' wakati niko kwenye mbio za mwenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom