Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mi hata sijamuelewa kwa kweli[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] binamu me nimekuelewa sana
Mi hata sijamuelewa kwa kweli[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] binamu me nimekuelewa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]....mimi kama makaveli10 , sionji kwanza, akishakuwa fundi ndo naonja. Sionji kitu kisichokoloa maana huwa sipendi kuongeza nikiona kimepungua.
Mimi sio wewe king Mswati
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...oh ni yeye, lakini wewe si scout, huwa unaenda maporini kabisa kuibua vipaji, hadi ukivileta kwenye timu magoti yote hayana kazi.
Inabidi anko mkubwa aanze kuwafundisha upya
Mh!...sharing is caring. Unakuwa mchoyo kama umezaliwa kwenye nyumba ya ibada, kizuri unakula na wenzako.
Vinginevyo usituambie kama ni mtamu wakati wengine hatujamuonja
[emoji1] [emoji1] [emoji1]..ndo maana najivunia kuwa na aunty kama wewe, wewe ni malkia wa nguvu. Huogopi akitekwa au akijitekesha
Sitokii kapukuNimecheka mpaka machozi
[emoji1] [emoji1]Vyoteeee huyo huwa anasema humu akiwa na mwanamke akiagiza vinywaji ajilipie mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama naniMfyuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yako
Hata mi nimekijuaNimekijua
Kina tumosa hao[emoji445] [emoji1]Hapana wa humu kapuku
Loh!...yeah, kwani mbio za mwenge huwa zinavuka kijiji? Umesahau ulipokuwa kiongozi wa mwenge mwaka jana. Ukaibuka hadi kwa wahamiaji haramu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...baadaye, kumbuka mwamvuli ukipita jirani kwangu. Ninaogelea leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi huyu ??
[emoji4] [emoji4] [emoji4]...usidhani ni mimi, safari za kikazi ni za anko. Mimi si unajua ni Mtwara na Lindi tu basi ndo mwisho
Ndio furaha yangu hiyoSitokii kapuku
Some vizuri utamuelewa tu mpendwa wakoMi hata sijamuelewa kwa kweli
[emoji134] [emoji134] [emoji134]...nitadumu vipi tena, si niliitwa kwenye kamati ya usuluhishi ya yule jirani yako, wakaamua mke wa jirani yako, yule dada chotara aje akae kwangu nimfundishe tabia njema
Kama mimi[emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nani
Ni niniiiHata mi nimekijua
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Husna