Makapuku Forum

Makapuku Forum

I love you too, yaani kwa namna ninavyokupenda maelezo tu na vitendo havitoshi kueleza. Hapa ili ijitosheleze nawaachia wanaoumizwa na sisi ndo waeleze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
giphy.gif
[emoji23]
 
I love you too, yaani kwa namna ninavyokupenda maelezo tu na vitendo havitoshi kueleza. Hapa ili ijitosheleze nawaachia wanaoumizwa na sisi ndo waeleze
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Hahaaaa haka kajamaa bwana kalinifurahisha..
teh teh mwanzishaj wa hili bandko heshima kwako na ss tupat pa kutambia ebo[emoji15] [emoji15] sio kila mar mkongwe hee kisa wakt wa founder et alikuwepo

salute sana[emoji61]
SNIPER SHOOTER

SNIPER SHOOTER
memba mpya anaekuja kwa akasi mwenye mawazo chanya
salute kwake pia[emoji117] [emoji117] SNIPER SHOOTER

SIO KILA cku mie kulike post za wenzio tu[emoji16] [emoji16] wa mh eti ni kupita tu no ifike wakat penye umuhim kila mmoja afany kwa nafad yaje ni hayo tu waungwana
ni mm KAPUKU ASIE NA MAJIVUNO ANAJIELEWA
HESHIMA IDUMU

SNIPER SHOOTER
[emoji1] [emoji1]
NAONDKA HVO
SNIPER SHOOTER SITAKI UMAARUFU ILA NATAKA

UMASHUHURI
naaga Sniper Shooter[emoji113]
 
...najua kabisa mpenzi wangu niko moyoni kwako, nikienda kutembea nje naacha koti, kama bosi vile. Nawe uko moyoni kwangu hupotezi ladha kama ukwaju
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
..anko wangu alikuwa anachekea nini? Kilichomfanya acheke ni nini? Mbona mimi ninakuwaga wa mwisho kujua vitu humu ndani ilhali ninaishu humu humu jamani!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje akujibu
 
  • Thanks
Reactions: Obe
...usihamaki mpendwa wangu. Tutaenda Zanzibar na ni lazima tupande pantoni, hapo nilikuwa namaanisha mimi na wewe tunaenda Znz kwa pantoni ya Azam
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Back
Top Bottom