Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kitu new

....yaani nichane karatasi mwenyewe? Heh, kitu kinanukia kiwanda, kinanukia mashine. Nataka kitu kimeoshwa kinajua kubadili macover, kinajitosheleza kina apps zote, mimi nachofanya nina update tu
 
....yaani nichane karatasi mwenyewe? Heh, kitu kinanukia kiwanda, kinanukia mashine. Nataka kitu kimeoshwa kinajua kubadili macover, kinajitosheleza kina apps zote, mimi nachofanya nina update tu
[emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] nakugawa bureee binamu
 
....yaani nichane karatasi mwenyewe? Heh, kitu kinanukia kiwanda, kinanukia mashine. Nataka kitu kimeoshwa kinajua kubadili macover, kinajitosheleza kina apps zote, mimi nachofanya nina update tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
....nimeweka kwapani mengi tu mbona. Umesahau hakuna anayejua siku ile umeenda kumsajiri yule miss bombadia kumbe tayari ashasajiriwa tyari, vurugu lae nishukuru nilikuja na msafara wa kamando siroz
Kwa hiyo kwapa limejaaa ujue bado sijapata wa ubavu kipande hii unachafua ubao
 
Hataki usumbufu kitu dubwaaaaaaaa

....yaani sio dubwaaaaaa ni chubwiiiiiiiiiii maji yanaruka na sauti za prakatarumbaaaa atumbaaaa zinasikika kuongeza ladha
tenor.gif
 
Nimeaminiii uko vizuri mimi anavoshinda na maka nkajua lake au mnashare

makaveli10 nilimtishia kuwa nimemfanyia tego mpenzi wangu kwa hiyo tusilaumiane, yaani hata akipeleka kidole pendwa kinanasa. Sitaki mchezo mimi, ukijidai kupima oil kuangalia friction itakuwaje imekula kwako.

na ile dawa mganga alikufa akanipa sharti moja tu, kumsaidia aliyenasiana ni kumkata kiungo kilichonasia, siku akianzia chumvini ninakuja na msumeno
 
Vyoteeee huyo huwa anasema humu akiwa na mwanamke akiagiza vinywaji ajilipie mwenyewe

.....dunia ya Magu hii, usawa wa kijinsi na kijinsia. Me nachoweza kumsaidia ni kumvua tu, maana kuna wadada wanavaa nguo za kubana hadi unajiuliza atavuaje bila kumsaidia
 
Back
Top Bottom