Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mmh ngashtukaWalaaa
Mmh ngashtukaWalaaa
Tusalimiane kwanza anko ujue hii dunia gunia na raha ya dogodogo inanoga ukiwawahi hajapokea bumu wale first year ...unakumbuka yule uliyemuomba anko wako mkubwa wakusaidie regist nikamsaidia mm kwa niaba yake niliona faida
Nani karopokaa wewe kibibi gagulaa??Kwahiyo mm sio kibibi gagula
...Dar hawafiki bhana, wakifika chalinze wanachepuka unawahesabu kuanzia hapo hadi Kishumundu Moshi. Hapa nataja trip za 'kikazi' wakati niko kwenye mbio za mwenge



binamu me nimekuelewa sana
Hapana ShemMmh ngashtuka
Hata sijui jamanNan na nan?
Shart la kwanza anko obe ndo anaonja kwanza
Nakumbuka ulitusimulia japo napo hukudumu na tabia yako ile...sasa nitasahau vipi wakati kile kitendo ndo kilinifanya nikahama chuo nikaenda Veta maana huko hawababaishwi na hela za bodi sijui wanunue TV, tayari wanazo
Hapana T usijal nipo sawaKuna Tatizo kwani...
Mbona kama u mnyonge hivi?
...sasa nitasahau vipi wakati kile kitendo ndo kilinifanya nikahama chuo nikaenda Veta maana huko hawababaishwi na hela za bodi sijui wanunue TV, tayari wanazo






na ulivyo mbahili kuhongq
Mm apa ila unabishaNani karopokaa wewe kibibi gagulaa??
Shemu kuna kitu sikioni kwenye keyboardHata sijui jaman
SawaHapana Shem
Atakua anko wako mkubwa