Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Woooooooozaaaaaa binamu obe nakusalimia mimi jaman
UsinisemeeEeeenh![]()
...na kabla ya sketi wanatanguliza skinitaiti, basi mjomba wangu haoni raha kabisa kuangalia rede. Siku hizi anaenda kuangalia mashindano ya wadada kuogelea

DuuuMchezo wa Netball ndio wenye radha chupi nje nje alafu unakuwa na uwezo mkubwa wa kupima papuchi za wad......da..
Asante T za weweHata mimi nakusalimia
.....nami nakusalimia aunty yangu. Hujambo lakini.
Nipo hapa nimepumzika maana jua lilikuwa kali sana hadi paka wa jirani kakataa maziwa anataka icecream za Azam

Anko wako mkubwa au mdogo ?...na kabla ya sketi wanatanguliza skinitaiti, basi mjomba wangu haoni raha kabisa kuangalia rede. Siku hizi anaenda kuangalia mashindano ya wadada kuogelea
Mwana fa aliyaonaWoooooooozaaaaaa binamu obe nakusalimia mimi jaman
Binamu achana na salaam hii ya kawaida hivi huoni makiss hayo ya maka na mpendwa wako wanaanzaga hivyo hivyo ahahhaha ila huyo paka kiboko wa kukataa maziwa na kutaka icecream.....nami nakusalimia aunty yangu. Hujambo lakini.
Nipo hapa nimepumzika maana jua lilikuwa kali sana hadi paka wa jirani kakataa maziwa anataka icecream za Azam
AhahhahaUsinisemee
Kwani uongo?Wacha weeeh
Usimtie presha mpenzi wangu banaaBinamu achana na salaam hii ya kawaida hivi huoni makiss hayo ya maka na mpendwa wako wanaanzaga hivyo hivyo ahahhaha ila huyo paka kiboko wa kukataa maziwa na kutaka icecream
Karibu tukupe usajiliMchezo wa Netball ndio wenye radha chupi nje nje alafu unakuwa na uwezo mkubwa wa kupima papuchi za wad......da..
Huyo hawezi kuwa na presha hizo mambo kashazoea ana list yake akianza na mama ashura mvaa nini sijui bado muuza chapati na yule muuza supu akiwapanga kutoka mtwara mpaka dar wanafikaUsimtie presha mpenzi wangu banaa
Poa tu TPouwa...
Mambo