Makapuku Forum

Makapuku Forum

....anko wangu mkubwa ana tabia kama za mdogo wake, tunafanana sasa si unajua mambo ya ukoo tena mjomba.

BTW, anko mkubwa, yule anko wangu aliye rafiki yangu kabisa, sio wewe maana wewe tunakuitaga Robert Mugabe kwa kupenda dogodogo.

Yule anko wangua anayejulikana humu katekwa na mwanamke asiyejulikana, nitaweka picha
Na ole wako usiweke hiyo pic nakushtakiiiiii hata akitekwa na wanawake binamu nini mwanamke mmoja ukiona hivyo ujue ni rijali
 
Huyo hawezi kuwa na presha hizo mambo kashazoea ana list yake akianza na mama ashura mvaa nini sijui bado muuza chapati na yule muuza supu akiwapanga kutoka mtwara mpaka dar wanafika

...Dar hawafiki bhana, wakifika chalinze wanachepuka unawahesabu kuanzia hapo hadi Kishumundu Moshi. Hapa nataja trip za 'kikazi' wakati niko kwenye mbio za mwenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom