Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,832
Na mambo ya moshi mbona anko wako hanaga safari za huko
...ndo zimeanza sasa, anapanua mipaka. Kwenye bar tunaendaga wanamuita Karl Peters na anajua kuongea kijeremani
Na mambo ya moshi mbona anko wako hanaga safari za huko
Nimecheka mpaka machozi...siku anko akitishia kukuacha ninamsema kwa askofu Gwajima na Mange Kimambi, lazima arudi akuombe msamaha
[emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] nakugawa bureee binamu
AhahahhaWajingaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....yaani sio dubwaaaaaa ni chubwiiiiiiiiiii maji yanaruka na sauti za prakatarumbaaaa atumbaaaa zinasikika kuongeza ladha
![]()
Ahahahhahahahahahamakaveli10 nilimtishia kuwa nimemfanyia tego mpenzi wangu kwa hiyo tusilaumiane, yaani hata akipeleka kidole pendwa kinanasa. Sitaki mchezo mimi, ukijidai kupima oil kuangalia friction itakuwaje imekula kwako.
na ile dawa mganga alikufa akanipa sharti moja tu, kumsaidia aliyenasiana ni kumkata kiungo kilichonasia, siku akianzia chumvini ninakuja na msumeno
Mfyuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yako.....dunia ya Magu hii, usawa wa kijinsi na kijinsia. Me nachoweza kumsaidia ni kumvua tu, maana kuna wadada wanavaa nguo za kubana hadi unajiuliza atavuaje bila kumsaidia
Ameen [emoji120] [emoji120] binamu namuombea kila siku iitwayo leo....hilo ndo la kushukuru na endelea kumuombea afanikiwe zaidi. Hajawahi kukusahau pamoja na kujiingiza majaribuni kila anapotaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ndo zimeanza sasa, anapanua mipaka. Kwenye bar tunaendaga wanamuita Karl Peters na anajua kuongea kijeremani
Anko baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Woyooooooooooooooo...unajua pa kunigawa, sihitaji kukukumbusha kuwa napenda kupanda pantoni
Shunie[emoji137]Woyooooooooooooooo
Nimecheka mpaka machozi
KaribuEvening Kapuku
Ahsante habari za kutwaKaribu
Ni nzuri kiasiAhsante habari za kutwa
Evening Kapuku
Aisee.Ni nzuri kiasi
Woyooooooooooooooo