makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,911
- 104,190
Duh.. haya sawa hatupaswi kuingilia mambo ya ndani, ila ni vizur ukiwa na mzee kwa bed ukaacha mambo mengine, kitandan sio pahala pa kwichi kwichi tu na kulala, ni mahala pa kuyajenga yenu, kuzungumza, kulitia penzi nakshi nkshi, kupanga mipango yenu, kujua siku imeendaje, taarifa za hapa na pale na kadhalika..Kwan nkilala ndo schati au
Nsamehe km nimekosea shemela.

kama mondi domo