Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Muziki: Kombe La Mapenzi
...najiaminisha tu kuwa Kapuku wewe tunayeheshimiana sana humu japo hatuitani 'mkuu' uko salama kabisa na siku yako ilikuwa poa na sasa unajiandaa kuisaka Furahiday. Nakukumbusha tu leo kuna mechi za Futuhi, usisahau kuangalia maana babu mbahili kuliko yule mwenye mkono wa birika timu yake inacheza leo. Yeah, ni kama ndondo hivi so hapa banda umiza kuna tV set mbili, moja futuhi moja kuwaangalia Arsenal, natamani waweke na ya katuni au mapishi angalau kuangalia uandaaji wa chapati za Azam
Asante sana shululu kwa magazeti na zaidi kwa kubadilibadili avatar, hii ni Tanzania ya viwanda tunayoitaka, najua umekubaliana na Tumosa kuchukua maamuzi haya maana lee empire hafanyi kitu hadi Shunie akubali vinginevyo ni vita kali kama iliyowapatanisha Transcend na Sakayo pale T alipotaja kabila lisilo la S. Anyway, nitasema nini kwa kipenzi wangu, laini hadi kucha husna muba , asante kwa UF.
Tetramelyz umepotea au ndo honyemoon na moneytalk msimuone dumejeuri katulia tu, bado hajajiunga na makaveli10 anayesingizia kukatazwa na mama ilhali ndo fundi mkuu wa mfereji maringo, mkimuona Nyagei mtaasisi mwenzangu huyu mwambieni Gentries hajiiti Mond tena, na hata Madame S mtoto wa Pwani, sio ya Moro lakini anagombea UVCCM, utashangaa hata mzeewakungoa anajiita babu wakati hata mvi hana. Popote walipo, Jimena , Bitoz , BlessedHope , Clkey , werrason ,Mussolin5 , koncho77 , nawambia tu Ubongo Mpana yupo na anadaia ID zake zilizofichwa na watu wasiojulikana. Mndali ndanyelakakomu , eden kimario chelsea imefanya maajabu jana, Valentina , demi , EMMYGUY tunawahamu humu
Muziki sasa, ujue nini, Kapuku wewe ni mtu muhimu sana hapa Jukwaani na haijalishi kama jina lako nimeshindwa kuliweka hapa kwenye kipengele ninachokipenda zaidi, Muziki na ninakutakia heri usiku huu na kesho jua litawaka tena.

nimejikuta nachekaa tu kuanzia mwanzo mpaka mwisho binamu wewe
Gubu veeeepKaniruhusu nichati jamani mbona unagubu jamani

Basi hakupendi....Kaniruhusu nichati jamani mbona unagubu jamani
Manga![]()
![]()
![]()
Ndo nimeitika sasa nambie
Ahasante nimekaribia
WoyoooooooooooTwendee ukanichezee
Una gubu kama ndguwa mume mke mweeeGubu veeeep
Wa wapiii huyo jamaanBasi hakupendi....
Yaani mie ningekuwA najibebisha tuu sa hizi.... Na data ningezima ujue
Hivi mpaka sasa hakuna aliyetokeza ambaye yuko "singo"?
Kuweni siriazi "wadada" wa humu bhasi....

Umeanza keleleWoyooooooooooo

WoooooooyyyyyyoooooTwendee ukanichezee