Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Kombe La Mapenzi

...najiaminisha tu kuwa Kapuku wewe tunayeheshimiana sana humu japo hatuitani 'mkuu' uko salama kabisa na siku yako ilikuwa poa na sasa unajiandaa kuisaka Furahiday. Nakukumbusha tu leo kuna mechi za Futuhi, usisahau kuangalia maana babu mbahili kuliko yule mwenye mkono wa birika timu yake inacheza leo. Yeah, ni kama ndondo hivi so hapa banda umiza kuna tV set mbili, moja futuhi moja kuwaangalia Arsenal, natamani waweke na ya katuni au mapishi angalau kuangalia uandaaji wa chapati za Azam

Asante sana shululu kwa magazeti na zaidi kwa kubadilibadili avatar, hii ni Tanzania ya viwanda tunayoitaka, najua umekubaliana na Tumosa kuchukua maamuzi haya maana lee empire hafanyi kitu hadi Shunie akubali vinginevyo ni vita kali kama iliyowapatanisha Transcend na Sakayo pale T alipotaja kabila lisilo la S. Anyway, nitasema nini kwa kipenzi wangu, laini hadi kucha husna muba , asante kwa UF.

Tetramelyz umepotea au ndo honyemoon na moneytalk msimuone dumejeuri katulia tu, bado hajajiunga na makaveli10 anayesingizia kukatazwa na mama ilhali ndo fundi mkuu wa mfereji maringo, mkimuona Nyagei mtaasisi mwenzangu huyu mwambieni Gentries hajiiti Mond tena, na hata Madame S mtoto wa Pwani, sio ya Moro lakini anagombea UVCCM, utashangaa hata mzeewakungoa anajiita babu wakati hata mvi hana. Popote walipo, Jimena , Bitoz , BlessedHope , Clkey , werrason ,Mussolin5 , koncho77 , nawambia tu Ubongo Mpana yupo na anadaia ID zake zilizofichwa na watu wasiojulikana. Mndali ndanyelakakomu , eden kimario chelsea imefanya maajabu jana, Valentina , demi , EMMYGUY tunawahamu humu

Muziki sasa, ujue nini, Kapuku wewe ni mtu muhimu sana hapa Jukwaani na haijalishi kama jina lako nimeshindwa kuliweka hapa kwenye kipengele ninachokipenda zaidi, Muziki na ninakutakia heri usiku huu na kesho jua litawaka tena.


Asante mpendwa
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Sema.. au nikupe goma moja userebuke nalo, ila usiende kuniangusha piga kazi kama mie kaka yako, usiniangushe huko, maana cv zangu zimeshiba..
 
Duh.. haya sawa hatupaswi kuingilia mambo ya ndani, ila ni vizur ukiwa na mzee kwa bed ukaacha mambo mengine, kitandan sio pahala pa kwichi kwichi tu na kulala, ni mahala pa kuyajenga yenu, kuzungumza, kulitia penzi nakshi nkshi, kupanga mipango yenu, kujua siku imeendaje, taarifa za hapa na pale na kadhalika..

Nsamehe km nimekosea shemela.
 
Msalimie Baba D.

4c4fc8fceb487ca4b1428f23997f571a.jpg
 
Duh.. haya sawa hatupaswi kuingilia mambo ya ndani, ila ni vizur ukiwa na mzee kwa bed ukaacha mambo mengine, kitandan sio pahala pa kwichi kwichi tu na kulala, ni mahala pa kuyajenga yenu, kuzungumza, kulitia penzi nakshi nkshi, kupanga mipango yenu, kujua siku imeendaje, taarifa za hapa na pale na kadhalika..

Nsamehe km nimekosea shemela.
Kitchen party iendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom