Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Wewe ni mwenda guest house, lodge na hotel mzur tuu.. unaijua hii![]()
![]()
![]()

Wewe ni mwenda guest house, lodge na hotel mzur tuu.. unaijua hii![]()
![]()
![]()

Unafanya mazoezi eeehKila shetan na mbuyu wake, najionea mapya, najionea maajab maangu sijawah penda hv popte kwenye ulimwengu, siwez elezea jns nnavyokuzmia, nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia, nafs yangu juu yako ishapotea, nashndwa jitetea, ka ultoroka pepon uzur uliokuenea. Ujue una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobak kwangu yote nakupenda wew. Unajua langu, una mwez wangu, unatembea na roho yangu, c m2 wa madem tena we ndo michelle obama wangu. We ndo kiboko yangu.
Yamenitoka tuuu
Cheka tuu mume wangu!!!!Hahahaaa..
Nakufa kwa kicheko mimi ujue![]()
Uwwwwwwii..Kama kuna mwalimu anisaidie, mwenyewe nimesoma memkwa....
Najua majina ya watu huanza na herufi kubwa.... Ni bora ukosee langu kuliko la mume wangu
Sakayo namwaminia sio wa mchezo mchezoSakayo sio wa Sport sport
Love youThats my woman
Mh!Akuu.. thidhijui mimi.
Ntazijulia wapi wakat mama kanikatadha..![]()
![]()
![]()
...mpenzi, mimi na wewe hatuendagi guest, na pia sijawahi kumjaribu huyu Eva, mambo ya Eva muuliza mjomba wangu lee empire.
Ulaini wako kama keki ya tufaa nashindwa kukulinganisha na andazi la kifaransa (croissant), na ujue ulaini wako ndo unaonipatia ugumu mimi, you know like hard on hata uvccm wakimaliza election mimi bado nina erection kwa ulaini wako.
Unataka kusikia nini tena?

Nissan Gari Tamu sana.Nimeendesha sana nissan patrol mpaka inakaribia kufa.. arif nissan wamenikosha saana.
Yaaani Mungu anitunzie tuu utamu wanguuuUwwwwwwii..
Mungu aendelee kukuweka tuu Sakayo wangu.
Niache tu na umalaya wangu.. sasa nifanyaje kipindi hiki ambacho bado sijamuona mwanamke anaedeserve kumiliki huba langu.. nikufe na utamu wangu au!!?Umalaya huo
WoyoooooSakayo namwaminia sio wa mchezo mchezo
....kama nguo yaani!maka we ni mwisho yaan nakuvutia tu picha unavyowabadili badili![]()
![]()
![]()
Hahaaa...Cheka tuu mume wangu!!!!
I wish I could be IGP (in Magu's voice)
Aahh.. haya sawa shunie.Na mashairi yako ujue maka
Niache tu na umalaya wangu.. sasa nifanyaje kipindi hiki ambacho bado sijamuona mwanamke anaedeserve kumiliki huba langu.. nikufe na utamu wangu au!!?
Wanawake wenye hamuaminiki, naweza kujituliza wee umetufunga kumi. Wacha nile ujana mie, anaejipendekeza naweka tuu, akifika mwenyewe ntamkabidhi mali yake..




