Muziki: Kombe La Mapenzi
...najiaminisha tu kuwa Kapuku wewe tunayeheshimiana sana humu japo hatuitani 'mkuu' uko salama kabisa na siku yako ilikuwa poa na sasa unajiandaa kuisaka Furahiday. Nakukumbusha tu leo kuna mechi za Futuhi, usisahau kuangalia maana babu mbahili kuliko yule mwenye mkono wa birika timu yake inacheza leo. Yeah, ni kama ndondo hivi so hapa banda umiza kuna tV set mbili, moja futuhi moja kuwaangalia Arsenal, natamani waweke na ya katuni au mapishi angalau kuangalia uandaaji wa chapati za Azam
Asante sana shululu kwa magazeti na zaidi kwa kubadilibadili avatar, hii ni Tanzania ya viwanda tunayoitaka, najua umekubaliana na
Tumosa kuchukua maamuzi haya maana
lee empire hafanyi kitu hadi
Shunie akubali vinginevyo ni vita kali kama iliyowapatanisha
Transcend na
Sakayo pale T alipotaja kabila lisilo la S. Anyway, nitasema nini kwa kipenzi wangu, laini hadi kucha
husna muba , asante kwa UF.
Tetramelyz umepotea au ndo honyemoon na
moneytalk msimuone
dumejeuri katulia tu, bado hajajiunga na
makaveli10 anayesingizia kukatazwa na mama ilhali ndo fundi mkuu wa mfereji maringo, mkimuona
Nyagei mtaasisi mwenzangu huyu mwambieni
Gentries hajiiti Mond tena, na hata
Madame S mtoto wa Pwani, sio ya Moro lakini anagombea UVCCM, utashangaa hata
mzeewakungoa anajiita babu wakati hata mvi hana. Popote walipo,
Jimena ,
Bitoz ,
BlessedHope ,
Clkey ,
werrason ,
Mussolin5 ,
koncho77 , nawambia tu
Ubongo Mpana yupo na anadaia ID zake zilizofichwa na watu wasiojulikana.
Mndali ndanyelakakomu ,
eden kimario chelsea imefanya maajabu jana,
Valentina ,
demi ,
EMMYGUY tunawahamu humu
Muziki sasa, ujue nini, Kapuku wewe ni mtu muhimu sana hapa Jukwaani na haijalishi kama jina lako nimeshindwa kuliweka hapa kwenye kipengele ninachokipenda zaidi, Muziki na ninakutakia heri usiku huu na kesho jua litawaka tena.