Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Muwe makni wageni msije pewa mashuoKumbe tutapitia tukusalmie na ww
Wasalimie thaanaBinamu yupo na mama mtwara mama kaamua kumfata
Azimii MTU apaaMpendwa wake akizimia hii kesi hukwepi mke mweee
HayaAsante shemeji
Sijambo mdogo wangu mieNa me nakusalimia tu Mama N lakini si tulishasalimiana jaman
Acha waspend ni wakati wao huuHuo ndio ukweli mke mwee mama yupo mtwara kwa binamu yaan mama anavyonitumia mapicha huko jaman binamu obe![]()

![]()
![]()
nikutumie wapiiii halaf we amini tu siwezi vujisha picha za watu mama nitamkosea sana
bongo movie utaijua tuDaaah pole asee me nikajua ulishabahatika kupata usingizi ndo maana ukachelewa kujibuHaya, anza kuketa za kwako, zikiisha km bado usingiz haujapatikana ntaleta za kwangu.
Amin na kwako pia mpendwaAsubuh njema ndugu zangu, neema na baraka zake muumba ziwe nasi, atuongoze katika mambo yetu atufanikishie mipango yetu juu ya yale tunayotaman kuyafanya katika siku ya leo, atulinde na kutuepusha na mabala inshaallah
Nawapendeni ndugu zangu, asubuh njema kwenu.
AmeenTUOMBE*
Tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Baba zidi kutupigania, tupiganie katika kazi,biashara,Familia,Maisha na Mahitaji yetu mbalimbali. Tunajitakasa Kwa Damu ya YESU. Tunateketeza,Ng'oa na kuharibu kazi za shetani kwa Moto wa Roho Mtakatifu. Eeh Mungu kumbuka Taifa letu na watu wake, tuongoze kila tutakapo kuwa leo.ponya wagonjwa na wape faraja wafiwa,angalia wajane,wagane,yatima na wenye mapito mbalimbali uwe pamoja nasi siku yaleo Roho Mtakatifu kaa nasi utuongoze, Ni katika Jina la Yesu tunaomba,tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA FAMILIA ,MUNGU AWABARIKI SANA![]()
![]()
Wewe shunie wangu anakuhusu nini ....kumpenda si umemkosa moneytalk na bikira lakee![]()
![]()
![]()

Duh.. mwanangu una nongwa mtoto wa mganga akasome..![]()
![]()
Sasa aliyekwambia mim nataka bikra nani..
Nshakwambia mimi sipo kwenye amature nacheza legendary level..![]()
![]()
Huyo mtoto bikra gani anayo labda ya sikio, katoto kanajua kuchagua mpaka mwenye mwanya..
Wacha nihangaike na migume gume![]()
![]()
![]()

Leo umenigeuka uko upande wa lee sioDuh.. mwanangu una nongwa mtoto wa mganga akasome..![]()
![]()
Sasa aliyekwambia mim nataka bikra nani..
Nshakwambia mimi sipo kwenye amature nacheza legendary level..![]()
![]()
Huyo mtoto bikra gani anayo labda ya sikio, katoto kanajua kuchagua mpaka mwenye mwanya..
Wacha nihangaike na migume gume![]()
![]()
![]()