Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji253] [emoji253]Nampigia ..atakuambia sasa hivi
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji253] [emoji253]Nampigia ..atakuambia sasa hivi
Ndo sasa mama umpe maneno hayo kabisaaaa ....mm sijamfanya kibaya chochote
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mama mpigie mwanao jamani nimemuachaa kanunaa ata kusema tatizo
Msalimie shunie wako arif, nakapenda saana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bikira ya kuchorwaWewe shunie wangu anakuhusu nini ....kumpenda si umemkosa moneytalk na bikira lakee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi shemela wangu za weweShemela wa mie za kwako
Nzuri kabisa shemela, D hajamboSafi shemela wangu za wewe
D hajambo kabisa shemela sijui wakina jj wa instaNzuri kabisa shemela, D hajambo
Insta ndio nini shemelaD hajambo kabisa shemela sijui wakina jj wa insta
Instagram shemela huko anakoiba mkeo watoto kwenye acc za watuInsta ndio nini shemela
Yaan huyu werrason maka ni mtu muhimu sana kwangu ujue yupo humu jf mtafute utampataKatika watu niliowamisi ni mwanangu werrason
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Demi ana msiba,kafiwa na baba yake
Nzuri shemShemeji za asubuhi
Sawa shemela, mawazo yako hayoInstagram shemela huko anakoiba mkeo watoto kwenye acc za watu
Ni kweli, msiba upo morogoro kwao[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante shemejiNzuri shem
Nakusalimia tuu
Na me nakusalimia tu Mama N lakini si tulishasalimiana jamanNzuri shem
Nakusalimia tuu
Sawa sawa shemelaSawa shemela, mawazo yako hayo
Hmmmm..... Sijakupatapata hapo rafikiiNiitieee binamu awekee mzikiiii naonaa watu leo wanavuanaa kyupiiii na boxer
Mjukuu wangu!!!Na me nakusalimia tu Mama N lakini si tulishasalimiana jaman
KumbeHhmm.. ujue na mie maskani ni kigamboni..