Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hawa jambo mdogo wanguMama N nimewamiss mapacha wako ujue ebu niwekee jaman
Hawa jambo mdogo wanguMama N nimewamiss mapacha wako ujue ebu niwekee jaman
Bongo movies???Acha Baba D kwahiyo bongo movie nyingine imeingia
safi kabisa shem wangu wa ukwel, familia haijamboShemela za mchana
Mama N nimewamiss mapacha wako ujue ebu niwekee jaman
Familia haijambo kabisa, za hapo nyumbanisafi kabisa shem wangu wa ukwel, familia haijambo
Dah.. kafuja mali za yatima, pole janjaKweli kaka mkubwa ila ndo alipewa mali za baba kipindi baba anatangulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa maana yeye ndio dingi. Annaniambia nimerithi sasa nimelithi kawa nan
Kitabu au[emoji85] [emoji85]Nimekusoooooomaaaaaa
Asijifanye hasikii..Anaongea na wewe dingi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mamaaaahao sasaaa![]()
nzuri kabisa shem tunamshukuru munguFamilia haijambo kabisa, za hapo nyumbani
No chukua ya buku jero, kaka yako nipo hai ya nin uteseke.. mungu akichukua roho labda, ila niko hai hakaf janja unateseka c bora nikufwee tuuSawa kaka mkubwa nitachukua na maji ya jiti
Liko wapi,,[emoji23] [emoji23]Demi kwa kwelii hili litoto yawezekana sio langu
Vipi mpenzi wa Tetramelyz....Mamaaaa
Nikiwa nacho nampa tuu..Muombe maka akufahamu vizuriii
Naanzaje kwa mfano kukugeuka binti mafwezaLeo umenigeuka uko upande wa lee sio
[emoji4] [emoji4] analazimisha uwe baba yake et....unanitafuta nini lakini wewe aunty yangu!
Wiki mbili sasa nimetoa taarifa niko Lindi? Narudia tena niko Lindi
Mmmmmh [emoji40] [emoji40] [emoji40]Vipi mpenzi wa Tetramelyz....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naanzaje kwa mfano kukugeuka binti mafweza
Vp kwani moneytalk... Unahusika?bora ndugu, achana nae huyu