Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aahh.. teh teh teh teh, kama ndio hvyo basi ushafika cz hapo ndio home ndugu yangu, ile hospital siku hizi inaitwa grette, sasa uapnde wa pili ndio home, kuna kijumba kinavigae vyekundu, mbele kuna banda la chips hv, mara nyingi kuna kinisani patrol kimoja kinapaki, basi hapo ndio maskan, ukiniulizia makaveli hapo, unaoneshwa hata na bata

Karibu sana ndugu yangu, ntafurah sana siku ukifika, ni jambo jema kufahamiana
Nitakutafuta ndugu yangu...
 
9933d705a07ce381eaefe3a016ca3a1a.jpg


Sakayo ! Sakayo!

Naomba ukaninunulie Pizza.
Shunie please pizza buy for me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom