Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mama mpigie mwanao jamani nimemuachaa kanunaa ata kusema tatizo
Pole,usifanye hivyo mnapoacha asubuhi unajua utokako hujui uendako baraka za mwenzako muhimu na kumuacha na amani muhimu no matter what my son..nawapenda ndio maana nawaambia maisha hayana uhakika wa kuwepo hata sekunde moja tu mbele yako TUPENDANE[emoji7] [emoji7]
 
Ndo sasa mama umpe maneno hayo kabisaaaa ....mm sijamfanya kibaya chochote
 
Back
Top Bottom