Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Dingi acha kunitisha kakaangu hana tabia hizoUtakulaa jeuriii yake akikugeuzaa ukutaa sijuiii mm
Dingi acha kunitisha kakaangu hana tabia hizoUtakulaa jeuriii yake akikugeuzaa ukutaa sijuiii mm
Potezea napambana na hali yanguMtafuteee mama yakooo
Mtajuanaaa muhimu mkubalianeeDingi acha kunitisha kakaangu hana tabia hizo
Mi najua mtoto wako ni yule wa boarding mi sio wakoDemi kwa kwelii hili litoto yawezekana sio langu
Duuuu dingi hewa naona unakwepa majukumu yakoMuombe maka akufahamu vizuriii
Dingi unazingua potezeaMtajuanaaa muhimu mkubalianee
Love you mummy[emoji7] [emoji7]Asante mamy wanguuu, be blessed
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante shemeji kwa utambuzi wa muumba pamoja na kujua wajibu wako wa kazi
Nikutakie mapambano mema
Amen ubarikiweWakuu niwatakie asubuhi njema na mapambano mema
Mungu awaongoze kwa kila jambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dingi wa mandojo na domokaya.
Demi ana msiba,kafiwa na baba yakeIla kuwa na familia mbili kaziii kweliii kweliiii
Demi njoo umchukue mwanao mm kazi nshamamalizaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safu, naipenda hii..
Mnanidai buku 2, buku kwa kila mmoja..
Jumla buku nne kasoro buku iwe buku 5
Jaman maka [emoji134] [emoji134] kwahiyo nimerithi kwa nani[emoji23] [emoji23] vya kurithi vibaya, shunie nawe umekuwa moto, majib yako husna akakoge maji ya mtoni yanayotembea..
Shemeji za asubuhiAsante mamy wanguuu, be blessed
Sio babe babe ya jukwaani wachunguliane tuuRaha mkulane kiukweli ukweli au sio, sio bby bby, kumbe hata jina lake halisi hujui..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie umenikosha wew, na kunisuuza kabsa, kunywa soda kubwa lile nakuja kulipa.
Ameen Mama [emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120] barikiwa sana tunakupenda[emoji524]TUOMBE*
Tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Baba zidi kutupigania, tupiganie katika kazi,biashara,Familia,Maisha na Mahitaji yetu mbalimbali. Tunajitakasa Kwa Damu ya YESU. Tunateketeza,Ng'oa na kuharibu kazi za shetani kwa Moto wa Roho Mtakatifu. Eeh Mungu kumbuka Taifa letu na watu wake, tuongoze kila tutakapo kuwa leo.ponya wagonjwa na wape faraja wafiwa,angalia wajane,wagane,yatima na wenye mapito mbalimbali uwe pamoja nasi siku yaleo Roho Mtakatifu kaa nasi utuongoze, Ni katika Jina la Yesu tunaomba,tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA FAMILIA ,MUNGU AWABARIKI SANA[emoji120][emoji120][emoji7] [emoji7]
Shemela wa mie za kwakoJaman maka [emoji134] [emoji134] kwahiyo nimerithi kwa nani
Acha Baba D kwahiyo bongo movie nyingine imeingiaHaya ndo wanayaita maneno ya mkosajii au nakosea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tetra ashakua shem....na utampa likes huna namna