Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Naona unataka binamu yako awe baba yakoAnataka Samsung galaxy kama yako

Naona unataka binamu yako awe baba yakoAnataka Samsung galaxy kama yako

MakaburiiiiiiMmeyafukua tena mke mwee ujue
Good evening my loveMorning sweetheart
Ndio wapoKumbe kuna mainjinia humu
Woyoooooo.....Anko bhana, hizi ni siri za ukoo, mbona mimi sijawaambia kuhusu ile iPhone X uliyomnunulia teller zawadi ya beside tuyuu.
Wakati simu ya aunt yangu ukifanyia marekebisho ni kuibadili battery au cover. Ila umefanya vizuri kumnunulia cover la pink la kuwekamweka
Hivi binamu una darubini au umeongea mambo ya iPhone x umenivuruga kwahiyo amehonga kwa teller atakupa salaam anko wako

...zikirudi Zama za netball bila skin tight ndo utaachika.
Maana anko siku hizi haendi kabisa kuangalia netball kisa wachezaji wanavaa skin tight

I can smileHaya ya teller umeyatoaa wapiii
Ujuee aunt yako ana moyo ....alafu kakudanganyaa siku hiz ana mabwana wengine
Ila pole sana kwa kuwa wewe ndo umeanza kuvunja katiba yetu wacha tu queen afaidii ...yaaan posho yote ya polin umemkabiz yeye na wallet wewe kibokoo
Ila huyu aliyekunyanganya simu ni kibokoooo....na badoooo na ile njia huwez pita tena

.....basi huwa nikisikia sauti ya mzeewakungoa huwa nakereka sana, inakoroma sana.
Ila nikisikiaga maandishi ya husna muba huwa nasikia sikio kutekenywa, yaani kama umetegesha sikio kwenye kalio na mwenye kalio zuri akaachia ushuzi. Yaani utamu utakaosikia kunong'onezwa kumesingiziwa
umejua kunchekeshaUnaona utamu Wa kapuku ee
Kakunyang'anya nani?!Anko, hii nilijua tutalifanya Siri, unataka kunifanya nipewe talaka , si wiki imekaribia kuisha😀
Ile njia kama sio mbio tungesema mengine maana wahamiaji haramu wamejaa, unashindwa uingie wapi utokee wapi. Wamejipanga kama yale maeneo yetu pendwa ya buguruni

Kwaniii uongoooo ...simu ulikoseaa wewe yule tena bibi kabisa anakushindaje akilii
Ulikosea sana kumpelekea itel tena ata whatsap haina na wewe ukajisahau kwenye koti ukasahu kuweka silent
Taarifa ninazo

Ujue anko me ndo mtetezi mkubwa hapa, waone tu kina Tumosa na Shululu, fitna aanazokupiga lakini mimi damu ya kunguni ndo naangushiwa jumba bovu

Kiporo cha nini mtani?T nae kala nae alikula kiporo