Makapuku Forum

Makapuku Forum

.....basi huwa nikisikia sauti ya mzeewakungoa huwa nakereka sana, inakoroma sana.

Ila nikisikiaga maandishi ya husna muba huwa nasikia sikio kutekenywa, yaani kama umetegesha sikio kwenye kalio na mwenye kalio zuri akaachia ushuzi. Yaani utamu utakaosikia kunong'onezwa kumesingiziwa
Na lile tako la mkaanga sambusa vip
 
Haya ya teller umeyatoaa wapiii

Ujuee aunt yako ana moyo ....alafu kakudanganyaa siku hiz ana mabwana wengine

Ila pole sana kwa kuwa wewe ndo umeanza kuvunja katiba yetu wacha tu queen afaidii ...yaaan posho yote ya polin umemkabiz yeye na wallet wewe kibokoo

Ila huyu aliyekunyanganya simu ni kibokoooo....na badoooo na ile njia huwez pita tena


Ile njia kama sio mbio tungesema mengine maana wahamiaji haramu wamejaa, unashindwa uingie wapi utokee wapi. Wamejipanga kama yale maeneo yetu pendwa ya buguruni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom