Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nimedanganyaa??
Wewe una kesi na mm kabla sijasema ulikopeleka galaxy yako
Sasa utaki kuwa mtawa au?Kwahiyo mnaombea kumbe nikuje kuachika eenh
Lakini ndio siombei itokee hivyo ujue mke mweeMe ciombei mke mweeee wewe c ulisema hvo
me chitaki kwakwelHapo chacha,hku ni mama mchungaji mdogo
Me nakisaidia ujue,umesahau wakati unamtambulisha mgeni ameanza kuuliza kama imemwambia na hbr za akina mama AshuraUshindweeeeee
Mwambie arudi nimeshamfanyia order ya tecno new version inakaa na chaji masaaa 23

AshanyanganywaaAnataka Samsung galaxy kama yako
Mtumee roho yangu, hili sitakubaliana nalo kwakwel labda nianze kuona mabadiliko na kule nisimuone kabisa

Jamaniii mm kila nikisoma text zenu nakua kama nasikia sauti zenu vp nanyi mwasikia?

Hivi binamu una darubini au umeongea mambo ya iPhone x umenivuruga kwahiyo amehonga kwa teller atakupa salaam anko wakoAnko bhana, hizi ni siri za ukoo, mbona mimi sijawaambia kuhusu ile iPhone X uliyomnunulia teller zawadi ya beside tuyuu.
Wakati simu ya aunt yangu ukifanyia marekebisho ni kuibadili battery au cover. Ila umefanya vizuri kumnunulia cover la pink la kuwekamweka
Alisemaa wapiiMe ciombei mke mweeee wewe c ulisema hvo
wasamehe tu jamanWatakula jeuri yao
Kwahiyo mnaombea kumbe nikuje kuachika eenh