Makapuku Forum

Makapuku Forum

....hivi anko unajua Tumosa ndo ni namba moja kwenye ile list yako. Ulipokuwa umeenda kwa yule kibonge muuza kongolo alisema maneno ashakum nashindwa hata kuyaandika. Eti ni kweli umemuongezea mtaji afu umempeleka englishi kozi sababu eti maneno ya kiswahili hayakufurahishi mnapofanya yenu.

Mimi nikashangaa tu, nitasema nini tena kwa mjomba wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom