Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ndo maana nakupendaga ujue, uko na hofu ya Mungu!!!! Mungu akutunzeHahahaa!
Kama kawaida yangu. Nilikuwa nasoma hiyo mistari leo alfajiri nduo nikaona nishare tuu.
Ndo maana nakupendaga ujue, uko na hofu ya Mungu!!!! Mungu akutunzeHahahaa!
Kama kawaida yangu. Nilikuwa nasoma hiyo mistari leo alfajiri nduo nikaona nishare tuu.
Sawa mkuu safari njema mungu akutangulieHahaha...
Mkuu.
Ndio naondoka now mkuu.
Back to More town.
AmenKUMEKUCHA WAPENDWA.
Kwa hisani ya Shemela Shunie na BlessedHope wa werrason.
Nawapa neno la asubuhi kutoka Kitabu cha Wafilipi 2:3 -5.
Neno hili likawe taa na mwanga katika maisha yetu.
Amin
![]()
Shemeji. Habar ya kuamkaYanakuja mkuu T
Nzuri kabisa shemeji, za nyumbaniShemeji. Habar ya kuamka
Huku njema shemeji habari ya hapo kibahaNzuri kabisa shemeji, za nyumbani
Za kibaha nzuri, japo alfajiri tu tupo katikati ya jiji la dsmHuku njema shemeji habari ya hapo kibaha
Sawa shemeji mapambano mema ila nashangaa unashindwa junipitia hapa kibamba unipeleke nikalijue jijiZa kibaha nzuri, japo alfajiri tu tupo katikati ya jiji la dsm
Shemeji hujasema kama upo kibambaSawa shemeji mapambano mema ila nashangaa unashindwa junipitia hapa kibamba unipeleke nikalijue jiji
Hapa njia panda ya shule japo juzi ndo nimerudi huku kwetu nikirudi hapo nitakwambia ili unipitie tukale bata mjiniShemeji hujasema kama upo kibamba
Upo kibamba ipi ili jioni nipite

Sawa shemejiHapa njia panda ya shule japo juzi ndo nimerudi huku kwetu nikirudi hapo nitakwambia ili unipitie tukale bata mjini
Pamoja shemejiSawa shemeji
Morning sweetheartMorning all kapuku