Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Sisi tulisoma kimyakimya na kwenda kuchekea kwenye uzi wetu tuliouteka kwa muosha masufuria watu wanakuja mbona hatuwaelewi hatuwaoni kule tunawaambia tunawakwaza watu na chit chat zetu