Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Huhuhuuumsitegemee kama atafikia huko, acha aendelee tu kuomba hapa hapa, umbea atamwachia nani
Huhuhuuumsitegemee kama atafikia huko, acha aendelee tu kuomba hapa hapa, umbea atamwachia nani
Dingi chikamooo makubwa chimwona yuko wapAshanyanganywaa
mtoto wa kike unagubu kama ndugu wa mumeMmeyafukua tena mke mwee ujue
Nawaona nawaonaShem humu wapo watu wa dizain tofaut na huyo ni type mojawapo
Chikamoo hela ya kuongeawasamehe tu jaman
Dada chikamoooHuhuhuuu
Bado shemAshanyanganywaa
Haya ya teller umeyatoaa wapiiiAnko bhana, hizi ni siri za ukoo, mbona mimi sijawaambia kuhusu ile iPhone X uliyomnunulia teller zawadi ya beside tuyuu.
Wakati simu ya aunt yangu ukifanyia marekebisho ni kuibadili battery au cover. Ila umefanya vizuri kumnunulia cover la pink la kuwekamweka
leo hakuna cha dompo wala roberson, mnalala mzugu wa 7Hivi binamu una darubini au umeongea mambo ya iPhone x umenivuruga kwahiyo amehonga kwa teller atakupa salaam anko wako
Basi inabidi amnunulie tu mamaAshanyanganywaa
...zikirudi Zama za netball bila skin tight ndo utaachika.
Maana anko siku hizi haendi kabisa kuangalia netball kisa wachezaji wanavaa skin tight

Ufukunyuziiii chonganishiiiMe nakisaidia ujue,umesahau wakati unamtambulisha mgeni ameanza kuuliza kama imemwambia na hbr za akina mama Ashura
Hizo habari zinahusu nini sasa hivi mke mwee au kutaka kunivurugaMe nakisaidia ujue,umesahau wakati unamtambulisha mgeni ameanza kuuliza kama imemwambia na hbr za akina mama Ashura
Jamaniii mm kila nikisoma text zenu nakua kama nasikia sauti zenu vp nanyi mwasikia?
Chikamooo mzee wa saa ya zamani...zikirudi Zama za netball bila skin tight ndo utaachika.
Maana anko siku hizi haendi kabisa kuangalia netball kisa wachezaji wanavaa skin tight
Lile la mastory whatsappLipi![]()
![]()
![]()
Wazima kaka akee za weweHumu ndani wazima?