Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nice lessonEnd..
.![]()
Nice lessonEnd..
.![]()
Njema mkuu!Habari za asubuhii...
Hii imekaa vzr... Naona kwa mbali ukweli ndani yake!!HISTORIA YA KUVAA VIATU KUTOKA KAMBI KUU KITOVU CHA HARAKATI
===============================iIInasemekana kua kulikua na mfalme alitawala eneo kubwa sana , Siku moja ali amua kuzunguka miji ya eneo lile ili apate kulifahamu eneo vizuri , alianza kutembea maeneo mbali mbali baada ya kutembea kwa muda mrefu alijikuta nyayo zake zime athiriwa na kokoto na changalawe pamoja na miba kwa kua sehemu alizo kua akipita hazikua safi aliwaamrisha wafanya kazi wake kutandika mabusati mji mzima ili aweze kukanyaga pasi na kuathiriwa lakini mmoja ya walinzi wake alimpa ushauri kwamba mimi naona vizuri tuchukue ngozi ya mnyama kisha tuikate sawa na nyayo zako baada ya kutandika mabusati mji mzima
HAPO NDIPO INAPO DAIWA KUA MWANZO WA KUVAA NA KUTENGENEZA VIATU.
Dogo na muelewa sana...anastaili dunia yake sio hii ya kina okwi na kichuya
Unamanisha na mimi nianze kunywa bia!???Leo siku ya Beer Duniani..
![]()
![]()
Hiyo namba hela ya kitanzania inasomekaje!?TOP TEN MSHTUKO.
Kila ijumaa ya kwanza ya mwezi August huwa siku ya beer ya kimataifa. Hii siku imeanza kusherekewa tokea mwaka 2007 kwa kutambua mchango wa watumiaji wa beer katika uchumi wa dunia.
Kufikia mwaka 2020 mauzo ya beer yanategemewa kufikia usd 688.4 billion sawa na Tsh. 1,535,132,000,000,000.00, yaani zaidi ya trilion Elfu Moja na miatano.
sasa leo kwa mshtuko naleta zile beer 10 bora, je kama wewe ni mdau beer yako imetokea? most selling beer in the world.
Nataka nianzie hii hii kujifunzaNamba 7.
Heineken.
Hii beer ya iligunduliwa mwaka 1864, na Bw, Gerard Heineken nchini Uholanzi. Hii beer ilikuwa ni ya pili kwa mauzo duniani mwaka 2015, ina kilevi cha 5% . hii bia ni tamu na ni kati ya bia nyepesi.
hapa nimedaka wengi .
Kwanini mimi hapo nimeandikaje?
Mafunzo mema mkuu..


Ndio mkuu.
Wanakosaje kwa mfanoUlinambiaaa wajingaa kama hawa hawakosiii
Shemela we kariri tu hapo kwenye bongo movie tumeshavuka hizo hatua sisiKama kweli vile![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amina mpendwa, habari ya ibada?