Msekwa umekunywa bange wee
Siku hizi chadema inalala polisi na kuamka mahakamani
Hongera jaji hukuogopaa
Aseee unatia huruma kwa kweli
Lee na obe mkawachukue wahamiaji haramu wenu ukoo washadakwaa
R.I.p DC na mbunge
Huo sasa ni uongo kwa kipi hasa cha ajabu mpaka dunia yote imtazame yeye?!
Hawa wanafunzi wameniuma kwa kweli
Umashine autoe wapi?!
Tuacheni na kareti zetu hee..!!! Km mnataka mseme kuwafunza