Makapuku Forum

Makapuku Forum

TOP TEN
Week end huanza ijumaa ila kwa huku Uswahilini kwetu kila siku ni week end ila siku hizi gongo/pombe mchana marufuku,bangi nayo ishakuwa dawa ya kulevya,kucheza pool table nako kuna masharti bila kusahau vigodoro vishapigwa marufuku....stress tupu
Kama kawaida yetu week end hakuna siasa wala nini ni kush lawadu zaidi
Tuangalie wacheza filamu 10 matajiri wa kiume(actor)
Ieleweke utajiri wa mtu ni tofauti na umri hivyo hupanda na kushuka pia hutofautiana kwenye source/vyanzo vya habari hivyo niandikacho ni kutokana na chamzo kimoja nilichokichagua
Hivyo mimi sio auditor ......niandikacho sio sheria

karibuni
.........
Asante
 
Namba 10.

Coors Light

Hii ni bia inayotengenezwa huko canada, ni light beer yenye alcohol ya 4%. hii beer in maarufu sana nchini canada, uk, na marekani. sasa hivi wanalenga soko la asia sana.

 

Attachments

  • 10.jpg
    10.jpg
    7.9 KB · Views: 24
  • 10b.jpg
    10b.jpg
    5.6 KB · Views: 32
  • 10c.jpg
    10c.jpg
    5.6 KB · Views: 30
6/Jack Nicholson
770f7f4c52e21232535c345701375ea3.jpg
550e42de8647b64f9b8b09df0eb7c8af.jpg

Ana umri wa miaka 80
Ni mcheza filamu,mwongoza filamu na mwandika script mahiri
Kacheza filamu kibao ikiwapo ya The Shining ambayo ilivuma
Ni mshindi wa The Academy Award na tunzo zingine kibao
04e030be8d1b5318e883209061b99af2.jpg
304cb98082431f6e4485c31fe9f36d74.jpg

Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 400 Milion
..................
Zitaendelea baadaye
 
Namba 9.

Brahma.

Hii ni beer ya brazil na ilianza kutengenezwa 1888. hii beer in alcohol ya 4.3% na 5%
Brahma chop.
inatumika sana brazil na america kusini.

 

Attachments

  • 9c.jpg
    9c.jpg
    8 KB · Views: 25
  • 9b.jpg
    9b.jpg
    7.9 KB · Views: 26
  • 9.png
    9.png
    513.9 KB · Views: 27
3/Tom Cruise
0196529a2b109503d77c84fff60bce82.jpg
734ba1e62cb271cfe1a58daaf4238602.jpg
Ana umri wa miaka 55
Alifunga ndoa na Katie Holmes na kuwa moja kati ya ndoa 10 za makeleb za gharama kibwa zaidi duniani kando ya akina Wayne Rooney & Coleen McLough na wengineo
d939101bff1fa9853b4acc5f6f696eec.jpg
9edbf5210c7e3cdb34c6b1f1fb2e4505.jpg
Huyu ni gwiji wa filamu za aina kibao na kama humjui basi endelea tu na akina Ray Kigosi ndo size yako

Ana utajiri unaokadiriwa kuwa USD 480 Milioni
.....
 
Namba 7.

Heineken.
Hii beer ya iligunduliwa mwaka 1864, na Bw, Gerard Heineken nchini Uholanzi. Hii beer ilikuwa ni ya pili kwa mauzo duniani mwaka 2015, ina kilevi cha 5% . hii bia ni tamu na ni kati ya bia nyepesi.

hapa nimedaka wengi .
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    96.4 KB · Views: 27
  • 7b.jpg
    7b.jpg
    8.5 KB · Views: 25
  • 7c.jpg
    7c.jpg
    9.4 KB · Views: 27
  • 7d.jpg
    7d.jpg
    9.1 KB · Views: 26
2/Shah Rukh Khan
58aea08e4ec561fbee8606de9d2b825a.jpg
20f96e3741bb4942e618fe47c988e0df.jpg

Ana umri wa miaka 51
Achana na kibabu Amitah Bachcharan na Govinda jamaa huyu i moto kule Bollywood na kazi zake zinaeleweka na humpati kwa vijisenti vya mboga
c28ed682fdbee3b29b501f3cebd136d3.jpg
40c6401a0e35b23c251276910a033736.jpg
Jamaa ni tajiri na ana vitega uchumi na mikataba kibao ya kibiashara

Ana utajiri wa USD 600 Milioni
.....
 
Namba 6.

Yanjing.

Hii beer ilianzishwa mwaka 1980 huko china . hii imefanywa kuwa beer rasmi huko china. inamilikiwa na kampuni ya Beijing Yanjing Brewery co. ina kilevi cha 4.5%. Wale mlikanyaga china ni mashaidi.

 

Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    74.4 KB · Views: 25
  • 6b.jpg
    6b.jpg
    8.3 KB · Views: 27
  • 6c.jpg
    6c.jpg
    6.4 KB · Views: 26
  • 6d.jpg
    6d.jpg
    8.2 KB · Views: 27
Namba 5

Skol.


Skol ni bia ya muunganiko wa bia ya kiingereza,sweden, an ubeligiji. ilianzishwa mwaka 1964 kwa lengo la kuwa na beer moja ya kimataifa. ina kilevi cha 2.8% hadi 9%. mauzo yake ni 2,8% ya bia zote duniani.

 

Attachments

  • 5.jpg
    5.jpg
    87.6 KB · Views: 27
  • 5b.jpg
    5b.jpg
    8.4 KB · Views: 28
  • 5c.jpg
    5c.jpg
    3.8 KB · Views: 28
  • 5d.jpg
    5d.jpg
    8.8 KB · Views: 30
1/Jerry Seinfrld
fa9efd6cf6bc95d6db8132dcadd6f7be.jpg
3805b46a7196d014a9d498e2a0c3a7be.jpg
ana umri wa miaka 64
Ukiangalia filamu zake unaweza kufikiri ni kubwa jinga tu kama Le Mutuz ila elewa ni maogizo tu na ndo kazi inayomweka mjinii
79a2c2fac205d5ec1b87a6c9636d91c3.jpg
c962482fa5b135515c79f997f2cd4ccb.jpg

Ana madili kibao

Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 850 milion (now ushafika km dola 1 bilioni)
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
 
Namba 4.

Budweiser


Hii bea iligundulika nchini marekani miaka 1800 na Anheuser-Busch. watengeneaji walikuja baadaya kushinda soko la bia ulaya ya kati. ina kilevi cha 4.2%.
 

Attachments

  • 4.png
    4.png
    112.8 KB · Views: 33
  • 4b.jpg
    4b.jpg
    11.3 KB · Views: 29
  • 4c.jpg
    4c.jpg
    10.8 KB · Views: 28
  • 4d.jpg
    4d.jpg
    9.5 KB · Views: 27
1/Jerry Seinfrld
fa9efd6cf6bc95d6db8132dcadd6f7be.jpg
3805b46a7196d014a9d498e2a0c3a7be.jpg
ana umri wa miaka 64
Ukiangalia filamu zake unaweza kufikiri ni kubwa jinga tu kama Le Mutuz ila elewa ni maogizo tu na ndo kazi inayomweka mjinii
79a2c2fac205d5ec1b87a6c9636d91c3.jpg
c962482fa5b135515c79f997f2cd4ccb.jpg

Ana madili kibao

Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 850 milion (now ushafika km dola 1 bilioni)
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
Asante kwa kumi kubwa
 
Namba 3.

Bud Light

Hii ni beer ya kimarekani na imegunduliwa mwaka 1982, imekuwaa maarufu kupita beer ya
Budweiser. hii beer ina kilevi cha 4.2 sawa na Budweiser. Inatumika sana marekani.

Unlce Nyani Ngabu ni shahidi.


 

Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    6.6 KB · Views: 28
  • 3b.jpg
    3b.jpg
    8.7 KB · Views: 28
  • 3c.jpg
    3c.jpg
    11.9 KB · Views: 28
Namba 2.


Hii beer inapatikana katika ujazo wa 640ml, hii bia ni maarufu sana nchini china. ina test kama ya pilsner na inatengenezwa na kampuni ya Tsingtao Brewery Co.

mwaka 1972 ilianzaa kuuzwa nchini US na kupata watumiaji wengi. ni beer maarufu sana. ina kilevi cha 4.7%.
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    70.9 KB · Views: 24
  • 2b.jpg
    2b.jpg
    10.3 KB · Views: 24
  • 2c.jpg
    2c.jpg
    7.3 KB · Views: 23
  • 2d.jpg
    2d.jpg
    8.4 KB · Views: 25
Namba 1,

Snow.

Pamoja na mauzo yake kuwa katika nchi moja, snow ndio bia ya mauzo mengi na maarufu katika sayari hii. hii beer inauzwa nchini china. hii bia unauza ujazo wa 573% duniani toka mwaka 2005. hii beer ina maji sana na corbonate nyingi .

hii beer imekuwa na mauzo makubwa kwa kuwa inauzwa bei ya chini sana.lita moja ya snow inauzwa kwa USD 1 tuu.


Hii bia ina kilevi cha 4.3% tuu.

Asanteni sana wakuu.

mimi sio mzee wa Top Ten ila nimefanya suprise manake mimi nilikuwa mdau wa beer enzi hizooooooo.
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    47 KB · Views: 23
  • 1b.jpg
    1b.jpg
    10 KB · Views: 25
  • 1c.jpg
    1c.jpg
    10.4 KB · Views: 22
  • 1d.jpg
    1d.jpg
    9.1 KB · Views: 23

Similar Discussions

Back
Top Bottom