Yeah ni kweliUvonza hapo
Kuna chumvi zimewekwa kwenye mifuko ya sulphate ila midogo imeshonwa kienyeji zinauzwa 500 & 1000
Ukipita kwa treni utazipata hapo
.......
ShukraniEnd![]()
.....
AsanteTOP TEN
Week end huanza ijumaa ila kwa huku Uswahilini kwetu kila siku ni week end ila siku hizi gongo/pombe mchana marufuku,bangi nayo ishakuwa dawa ya kulevya,kucheza pool table nako kuna masharti bila kusahau vigodoro vishapigwa marufuku....stress tupu
Kama kawaida yetu week end hakuna siasa wala nini ni kush lawadu zaidi
Tuangalie wacheza filamu 10 matajiri wa kiume(actor)
Ieleweke utajiri wa mtu ni tofauti na umri hivyo hupanda na kushuka pia hutofautiana kwenye source/vyanzo vya habari hivyo niandikacho ni kutokana na chamzo kimoja nilichokichagua
Hivyo mimi sio auditor ......niandikacho sio sheria
karibuni
.........
Nilichukua mzigo paleYeah ni kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushaamba tuuNilichukua mzigo pale
Ni chumvi nzuri
Pia mawese ya kule balaa ukipikia ndani moshi mzito kama nyumba inaungua vile afadhali ya Kyela
Nilivyoyaleta nilitimuliwa kupikia ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Napenda vitu vya asili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushaamba tuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Babu ktk ubora wke
Mi Niko poa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mko poa humu