Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ameeen mkhubi
Ameeen mkhubi
Aise hapo tunapishana we unashuka Mi napandishaMafunzo mema mkuu..
Sie tunaanza kuacha sasa![]()
Shemela wa mimi apa za kuamkaShemela we kariri tu hapo kwenye bongo movie tumeshavuka hizo hatua sisi
Nzr mpendwa.. Mungu ameifanya jumapili njema!!Amina mpendwa, habari ya ibada?
Ndio hivyo
Safi sana shemela za wewe apoShemela wa mimi apa za kuamka
Nzuri kabisa shemela wanguSafi sana shemela za wewe apo
Asante shemela.Ee Bwana kutukuza usitukuze sisi Bali ulitukuze jina lako, kwa ajili ya fadhiri zako, kwa ajiri ya uaminifu wako
![]()
ZABURI 115:1
MBARIKIWE SANA MUWE NA JUMAPILI ILIYO NJEMA KWENU![]()
![]()