HISTORIA YA KUVAA VIATU KUTOKA KAMBI KUU KITOVU CHA HARAKATI
===============================iIInasemekana kua kulikua na mfalme alitawala eneo kubwa sana , Siku moja ali amua kuzunguka miji ya eneo lile ili apate kulifahamu eneo vizuri , alianza kutembea maeneo mbali mbali baada ya kutembea kwa muda mrefu alijikuta nyayo zake zime athiriwa na kokoto na changalawe pamoja na miba kwa kua sehemu alizo kua akipita hazikua safi aliwaamrisha wafanya kazi wake kutandika mabusati mji mzima ili aweze kukanyaga pasi na kuathiriwa lakini mmoja ya walinzi wake alimpa ushauri kwamba mimi naona vizuri tuchukue ngozi ya mnyama kisha tuikate sawa na nyayo zako baada ya kutandika mabusati mji mzima
HAPO NDIPO INAPO DAIWA KUA MWANZO WA KUVAA NA KUTENGENEZA VIATU.