Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Uhuru sikuwahi kumgundua kama ni mashotoInternational Left-Handers Day.
Namba 4.
Left-handers wana IQ kubwa.
Hii sio habari ngeni sana masikioni mwa watu. Watumiaji wa mkono wa kushoto wanaaminika kuwa na uwezo mkubwa sana kiakilli na kifikira. Mwaka juzi chuo cha mt. Lawrence kilifanya utafiti wa IQ za watu watumiaji wa mkono wa kulia na kushoto. matokeo yalikuwa kwamba kuna watu wengi zaidi left-handed wenye IQ juu ya 140 zaidi ya wale wa right-handed. mifano mizuri ni Isaac Newton na Benjamin Franklin.
Lakini pia kuna watu kama Barack Obama, obama amekuwa role mode wa vitu vingi sana kwangu. Tofauti wa kuwa left-handed wote, ananivutia namna anavoyfanya maamuzi bila papara, kuwa na confidence na kusimamia kile anachokiamini.
ILa pia mshkaji wangu, Uhuru kenyatta ni left-handed. Hongera mkuu kwa ushindi.
......