Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umefurahi nini sasaHaswaaaaaaaa
Umefurahi nini sasaHaswaaaaaaaa
Sana yaaniUmefurahi nini sasa
Kheeee dada kuiacha si mara moja tu mbona huwa tunaongea jamanSema naiacha sababu ni Sakayo tuu ndo anaenitafuta kwenye hiyo namba
Anaifahamu sana ndio mana akiona sipatikani huko anakuja kwenye tigoBasi mpe no ya tigo, si Dada yako lakini
Kazi ipi tena hiyo shemela wanguIla shemela wanaume tuna kazi sana aisee
Asante kwa taarifanimeamini kweli kutangulia siyo kufika, hatimaye uzi huu umepata mpinzani..
Kwa apa kwenye kinywaji namteteaInternational Left-Handers Day.
Namba 6.
Left handers wengi wanywaji.
HAAAAAaah, hapa imebidi tuu niaze kwa kucheka.🙂🙂.Kuna survey ilifanyika kwa watu 25,000 kutoka nchi 12 tofauti, hii ndio survey iliyogundua kuwa left-handers ni wanywaji zaidi ya right-handers. Ila pia survey hiyo hiyo iligundua watumiaji wa mkono wa kushot wengi wanakunjwa pombe kiasi cha kutowadhuru wakiwa na lengo la kupata kufurahi, hii inaunganishwa na ile hali ya emotion na feeling walizonazo tofauti na watumiaji wa mkono wa kulia. Connect ..............
chini utaona picha ya obama, justin beiber, bush sr., uhuru kenyatta na oprah winfrey.
Sasa mwenzangu uhuru kanizidi manake anakula hadi cha Arusha, ukiangalia hata zile macho zake utaelewa mzee anakula tembele la mlima meru.
Shunie , pleease kama dogo ni mdogo hakikisha hajifunzi kushika bilauri mapema, ikiwezekana asiguse kabisaa.
Drink for health, Drink for funny.
Basi wote vibibi gagulaMi mwenye kibibi
Shemela nakuona nataka nikuandike kwa list ya wabaya wanguHaswaaaaaaaa
Kilichokufurahisha nini kwa mfanoSana yaani
EeehhSana yaani
Mpaka nipige kwenye tigo nikuambie washa halotelKheeee dada kuiacha si mara moja tu mbona huwa tunaongea jaman
MuoneAnaifahamu sana ndio mana akiona sipatikani huko anakuja kwenye tigo
We cheka tuu... I wish I could be IGPAcha nicheke kwa sauti hivi una nini lakini![]()
Dada nisamehe jamaanMpaka nipige kwenye tigo nikuambie washa halotel
sirudii tena
Ukirudia jeDada nisamehe jamaansirudii tena