Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hahahaebu niache mie mfyuuu
Umeanza lini kunificha
Hahahaebu niache mie mfyuuu
Umefurahi eeehh
Aiseee! Umerudia Heinken tena?
Kwa mwaka mara moja mjueKumbe hujaacha![]()
![]()

Shemela ni mchochezi aiseeAcha uchochezi
Wewe apo maka na maneno yako nimeyazoea![]()
![]()
We mtoto wa kike wewe, umemzoea nan!!??
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wee koma wee mtoto wa kike ulikesha na nani!!ujue jana nilikesha nae hapa
Bwana Yesu asifiweKwa mwaka mara moja mjue![]()
SaaaanaShemela ni mchochezi aisee
Mie nmefkiria ww ulichofkiria..Vipiii jamaan tigo ni simu yangu ndio anayoitumia ulifkilia nini
AiseeeeWee koma wee mtoto wa kike ulikesha na nani!!
Naenda kusema kwa mama unasingizia kuwa ulikesha na mim..![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ntabisha mpaka kiama...Ahahhhhh endelea kubisha
Naanzaje kukutumia kwa mfano..Hapana hayo mambo ya kuja ndio siyataki we tuma tu kwa mpesa
Aiseee! Sawa shem..Kwa mwaka mara moja mjue![]()
Hapana,kuna kuwaga na Picha nzuri,zina Ujumbe mzuri.Hahaa...
Zipi..?
Za magazeti ama?
Kweli...?Basi tena
Usiniangushie jumba bovu ujue si amengia hapa anakutafuta wewe mnaulizana mmerudi safari ya zimbabwe mtu na mpangaji wakeSijui hata jina lake
Duh.. kweli unafata nyayo za husna.. mpaka shoga yako wa damuni unampiga darizii.. kah!! We mtoto weenilimdanganya