Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nimechochea nini shemela wangu wa ukweliShemela ni mchochezi aisee
Same to you kwa baby wakoInternational Left-Handers Day.
Namba 7.
Left handers wengi wana patwa na Hasira mapema.
Linapotokea swala la kutokuelewa watumiaji wa mkono wa kushoto ni wepesi wa kupatwa na hasira.Tafiti nyingi zinaonesha left-handed wanakuwa too emotional, mara nyingi wanakuwa na negative emotional na hii inatokana na watu hawa kuwa na pande zote za akili kufanya kazi kwa kushirikishana tofauti na watumiaji wa mkono wa kulia.
mara nyingi mabmbo ya yanayoratibiwa na ubongo wa kushoto kufanywa na ubungo wa kulia, yale ya kulia nayo yanaratibiwa na ubongo wa kushoto.
Mimi mwanajeshi etiSaaaana
Hajawahi kuruka kichurachura akiwa na sandals eeehh
Mie nmefkiria ww ulichofkiria..
Kwan ww umefkiria nn
Tycoon MAKAVELI Jr.

HaaaaahaaaaUsiniangushie jumba bovu ujue si amengia hapa anakutafuta wewe mnaulizana mmerudi safari ya zimbabwe mtu na mpangaji wake
WhatHata mm imebidi niwe makini kufatilia hizi mambo maana firstborn Wng anatumia left hand
Take it from me..Hii noma
Ndo nasikia leo
.....
Uezidiwa hata na muosha runguHahahaaaa.....
Sijui hata....! Nimejikuta kwenye list tuu huko google

Akikujibu nishitueNa lee, au kuna mwingine
Aisee...Ahsante mdau
Hata home yupo left hander
Nakumbuka utotoni alikuwa anachezea bakora balaa kisa anakula na kusalimia kwa mkono wa kushoto
Matokeo yake akajilazimisha kutumia yote now anachanganya tu mokono na tumemzoea yaani mikono yake yote inapiga kazi
Ni faida !!!
.......


.Watamsajili simba msimu huuHivi kwa nini mgosi alistaafu mpira jaman mbona kiwango kipo kaka mgosi bana
Mambo zipi tena dada hizo za kuchapiaHizo Mambo za kuchapia zitakuja niweka matatani ujue
Mkuu..Mimi hata ......... Ni ya kushoto
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....