Makapuku Forum

Makapuku Forum

International Left-Handers Day.

Namba 9.

Hapa nataja watu maarufu ambao ni left handed walio hai ambao hatupo nao leo.

1. Barack Obama
2. Harry S. Truman
3.Osama bin laden
4. Oprah wifrey
5.Justin beiber
6.Uhuru kenyatta
7. Lady Gaga
8. Eminem
9. Angelina Jolie
10. Sir Isaac Newton
11.Prince William
12.Robert Niro
13.Keanu Reeves
14.Nicole kidman
15.Bill Clinton
16. Bruce Willis
17.Tom Cruise
18. Freeman Morgan
19. Demi Moore
20. Prince Charles
21. Celine Dion
22. Bill gate
23. Drew Carey
24.Jamie Carey
25. Transcend

Mpangilio huu unaweza kupangwa vyovoyte, ongeza ambae amesahaulika manake wako wengi sana bado.


asanteni sana tuona tena mwaka ujao tarehe kama leo.

 
Aisee...

Hiyo mambo ya kuchapwa nilichapwa sana...! Ila ikashindikana..! Matokea yake natumia left kila kitu ila kurusha jiwe ni mkono wa kulia..

Chakula nakula na mkono wowote ! Utakaoanza Twende kazi .

Ila sishauri kuchapa watoto wakitumia left.
Wengi wapo hivyo hutumia yote
Siku nilipovunjika wa kulia na kushindwa kuandika ndio nikajua faida yenu mnayoipata left handed
Ni faida
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom