Makapuku Forum

Makapuku Forum

International Left-Handers Day.

Namba 6.

Left handers wengi wanywaji.

HAAAAAaah, hapa imebidi tuu niaze kwa kucheka.🙂🙂.Kuna survey ilifanyika kwa watu 25,000 kutoka nchi 12 tofauti, hii ndio survey iliyogundua kuwa left-handers ni wanywaji zaidi ya right-handers. Ila pia survey hiyo hiyo iligundua watumiaji wa mkono wa kushot wengi wanakunjwa pombe kiasi cha kutowadhuru wakiwa na lengo la kupata kufurahi, hii inaunganishwa na ile hali ya emotion na feeling walizonazo tofauti na watumiaji wa mkono wa kulia. Connect ..............
chini utaona picha ya obama, justin beiber, bush sr., uhuru kenyatta na oprah winfrey.

Sasa mwenzangu uhuru kanizidi manake anakula hadi cha Arusha, ukiangalia hata zile macho zake utaelewa mzee anakula tembele la mlima meru.

Shunie , pleease kama dogo ni mdogo hakikisha hajifunzi kushika bilauri mapema, ikiwezekana asiguse kabisaa.

Drink for health, Drink for funny.
 

Attachments

  • d58f346f932eea4e7efea8d73c4570ec0f90984a.jpeg
    d58f346f932eea4e7efea8d73c4570ec0f90984a.jpeg
    17.8 KB · Views: 19
  • 11.jpg
    11.jpg
    10.1 KB · Views: 17
  • g.jpg
    g.jpg
    9.4 KB · Views: 21
  • r.jpg
    r.jpg
    6.6 KB · Views: 18
  • t.jpg
    t.jpg
    5.1 KB · Views: 18
  • 7.jpg
    7.jpg
    9.1 KB · Views: 20
  • 6.jpg
    6.jpg
    5.4 KB · Views: 21

Similar Discussions

Back
Top Bottom