shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Muone
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Muone
Nini tatizo mkuuIpo hovyo kabisaa
Shemeji nakuona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sijarudi bado ujue
AiseeMmh dada ukiona imejirudia labda simu ya halotel sina au imekufwa
Sijui hata... Nimezubaa tuu hapaNini tatizo mkuu
Pole sana mkuu mungu akupe uahueni maana kukosa amani ni zaidi ya kuumwaSijui hata... Nimezubaa tuu hapa
Hahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajua wewe hujawahi kuruka kichurachura na kimini eeehh
We leo unacheka tuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mmmmh
Amen...Pole sana mkuu mungu akupe uahueni maana kukosa amani ni zaidi ya kuumwa
Yaani wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
BabySijui hata... Nimezubaa tuu hapa
AmeniAmen...
Mungu ni mwaminifu, hajawahi nipungukia mkuu... Najua atanipa wepesi
Lee atakubali?Hapana dada usinifanyie hivyo jamaan [emoji134] ujue nawaza tu apa kichura chura na kimini dada unataka nimwage radhi