Hapo sawaUtaijua vile nikikuwekea kwa akaunt ya tigopesa
In kikenya
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wale wakina nani tenaWale hao hao.. mie michezo hyo sina..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji4][emoji4]Haya sawa, najijua.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kihenga [emoji23]Marhaba shunie..[emoji85] [emoji85]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Waje huku...Dah.. umentajia mtuu, mie mwenyewe namsaka jonax, briz na quigley... mjomba mussolin5 aliaga wakat mie bado nipo mtamboni..
Nmewamc sana hawa watuu
Briz ndugu yangu jimena anakutafuta
Sweetiepie
Jonax mpiga tonye maarufu, nadhan kamrithisha tozi, ila still tunakusaka
Quigley mc u broo
Mussolin5 nmekumc mnoo broo
Popote mlipo jua nawakubali kichiz ndugu zangu [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Togwa la ngomani hilo..[emoji23] [emoji23]
Wewe tu na ngata yako.. ukitaka unachota unakunywa, kikombe waweka kando, mwingine nae akija hvyo hvyoo..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mzeewakungoa za asubuhinzuri Shululu... Tunayasubiri
Za pande hizo vip kapukuSalama tu kapuku..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hapana mzeewakungoaNa mkuu Shululu na wewe umechukua avatar ya maka?
Huku ni dole gumba tu kapukuZa pande hizo vip kapuku
Nzuri kabisa, za domZa asubui ni njema Mgosi habai za uko lushoto?
Wamepotea joh..[emoji17] [emoji17]Waje huku...
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Na kwako pia joh..
Shukran
Tycoon MAKAVELI Jr.
Morning shemela wa mimi apaMorning
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kule kijichi kwenu kule si mnapaitaga ushuani
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Acha kabisa maka hapana jamaan
Wa kigoma au mwanzaUmesahau maka na ugali dagaa