Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
![]()
Tozi nae kapita.. obe nae kapita..
Zamu ya nani leooo .......![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

![]()
Tozi nae kapita.. obe nae kapita..
Zamu ya nani leooo .......![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

Nalifanyia kaxi hiloWe husna vipi tena? Si ungeshea avatar na Obe?
Tena utakuwa unachungulia Kimya kimya...Au kwa vile nachungulia na kutoka???? Basi nichinjieni kuku mgeni![]()
![]()
Michezo: mimi, wewe, lee, eden, bitoz nyangema n.k
Burudan: wote
Udaku: husna,shunie na madame s kidonchoo, hawa udaku unawhusu hasa..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

Alale wapi popo huyuHivi ulilala kweliii?
Obe muone anti yakoWote wote wake
Ndio uliandikwa kwa macapeniSi wewe huyo ndio wifi yetu
Hiyo morogoro road haina lami nimewaza tu sijui utakuwa kahenga ka mwaka gani

Karibu mkuu..Wakuu habari za humu ndani naomba mnikaribishe
Page ya kwanza kabsa inakuhusu, kasome pale then unarud hapa uko huru kuchangia.. karibu nduguWakuu habari za humu ndani naomba mnikaribishe
Asante makaveli habari ya uzima wa hapo ulipoKaribu mkuu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mkuu nipo siku nyingi humu japo kwa sasa nimetingwa kidogo ndo maana naingia kwa nadra sanaPage ya kwanza kabsa inakuhusu, kasome pale then unarud hapa uko huru kuchangia.. karibu ndugu
Tycoon MAKAVELI Jr.
Same to yousoon nitaleta breefing.
leo ni August 13..! Left Handers Day...
kama unatumia mkono wa kushoto nyoosha kidole.
Aahh.. husna ntake radhi ndugu yangu..Alale wapi popo huyu