makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,449
Hapana, mim c mfuas..Mi nilikuwa nadhani na wewe ni miongoni mwa wale wanaosema kuita matembele ni matusi.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hapana, mim c mfuas..Mi nilikuwa nadhani na wewe ni miongoni mwa wale wanaosema kuita matembele ni matusi.
[emoji23]Mbavu zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Fresh, namshukuru mungu.. umeamkaje joh..
Sawa kabisa... Unaweza anzisha ww3Bora useme hvyo babu..
Jandoni ulinifunza mke wa swahiba wangu ni sumu kutafuna
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yako umeyatia kwenye sidiria, yawenzio ndio kushadadia...
Ndio maana ukilala unakabwa wee[emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji106][emoji106][emoji106]Husna babu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Togwa la ngomani hilo..[emoji23] [emoji23]Sio Obe tena.... Ameshahamia kwa toz?
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] wifi!!!!Ndio ivo
Hapa nilipo mbavu zinauma hadi wifi ako ananishangaa navyocheka
Jamaa kanichekesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
nzuri Shululu... TunayasubiriZa asubuhi makapuku wote, natumaini tumeamka salama
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Namaainisha mifugo yangu
Maana nalala bandani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji444] [emoji443] Tozi nae kapita.. obe nae kapita..Ni kwa Obe
Dah.. kariakoo bado kuna nyumba za udongo..Mitaa ya cinema pale msasani