makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,866
- 104,053
Sio mara ya kwanza, kila siku, itabidi afungiwe shingoni awe anatembea nayo
Si anatuona wote mapopoma.. uongo wa kuwapa watoto wa chkechea anakuja kutupanga sie watu wazima tulijilia chumv za kutosha.Haijui 40 huyoo labda kwa mwanaume sio mwanamke
Lazima afanye masihara si ndio umri wake wa masihara, akikuwa mkubwa km sisi ataacha.Anafanya masihara huyo
MmmmhSi anatuona wote mapopoma.. uongo wa kuwapa watoto wa chkechea anakuja kutupanga sie watu wazima tulijilia chumv za kutosha.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Asante kushukuru![]()
![]()
![]()
Ahsante kwa muda wako
Tycoon MAKAVELI Jr.
HapanaNtakujuza baadae au leo hupiti njia ya home kwetu kwenda kwenu..!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Haya sijabisha mieHhmm.. ngumu kunielewa mim kupitia maandish yangu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kote kote nipoNmeuliza tuu, mbona hvyo.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ngoja akutane na magegedu atatia akili..Amefundwa anajitoa tuu ufahamu
UmeanzaKweli hii true love..
Mpaka vikojoleo vinazoeana..![]()
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.



Eeh.. kajeur mnoo haka. Si kanamgeza husna muba.Umeonaee