makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,862
- 104,037
Niko poa ndugu yangu, sijui wew bi dada.Uko poa
Madame S
Mnafanana matendo kiasiSina udugu nae mie...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Uchakaramu tu labda.Mnafanana matendo kiasi
Madame S
Alhamdulillah nimeiona jumapiliNiko poa ndugu yangu, sijui wew bi dada.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wayajua bana usinifanye mwehuAku.. mambo gani hayo.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Oyoooooo..... braza.. braza, braza...Makomredi mpo?
Chikamooo mwanampotevuMakomredi mpo?
Au kwa vile nachungulia na kutoka???? Basi nichinjieni kuku mgeniWewe mgeni bhana..
