Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
HakikaAmeen Mungu ni mwaminifu kwa kweli
Wamtumainiao Bwana ni kama mlima Sayuni...
HakikaAmeen Mungu ni mwaminifu kwa kweli
Thank you lovie [emoji120] blessed you tooAmen
Be blessed my little sister...
HallelujahHakika
Wamtumainiao Bwana ni kama mlima Sayuni...
AmenThank you lovie [emoji120] blessed you too
Umeamkaje jaman makaMorng bibie
Tycoon MAKAVELI Jr.
Usitegemee kipya Malinzi bado boss pale TFFNgoja tuone itakavyokua ila mayai masikini
Nililala muda mchache kweli.. saa 8 hv, 1asubuh mtu kaja kanishtua,Hivi ulilala kweliii?
Mornie AlfaMorning fellowz
Eenhee.. shunie umekuwa, husna anajitia ubaradhuli, kuntia ubaya nsiokuwa nao[emoji57] [emoji17] [emoji17]Acha uchochezi mpendwa wa binamu
Pole sanaNililala muda mchache kweli.. saa 8 hv, 1asubuh mtu kaja kanishtua,
Toka saa 1 mpaka saa hiz naubembeleza usingiz hautak kuja, nagarauka tu kwenye kipande changu cha mkeka[emoji85] [emoji85] mwishowe nikichane[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Jaman nmefanyaje waungwana!!?[emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha kabisa maka hapana jamaan
Hiyo morogoro road haina lami nimewaza tu sijui utakuwa kahenga ka mwaka ganiNin, kipi kinachokugunisha?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndio na me nashangaa ujueEenhee.. shunie umekuwa, husna anajitia ubaradhuli, kuntia ubaya nsiokuwa nao[emoji57] [emoji17] [emoji17]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Unajijua mwenyeweJaman nmefanyaje waungwana!!?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndio misosi yetu, wacha wao wale mapizza yao, na maharmonize (mayonise) yao... sis tunakandika tu ugali mwana wane..Umesahau maka na ugali dagaa
Matamu kichiz..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena maji ya kutoka kwenye mtungi jaman maji yakiwekwa mule ya baridiiii