Za asubui ni njema Mgosi habai za uko lushoto?Za asubuhi makapuku wote, natumaini tumeamka salama
Michezo: mimi, wewe, lee, eden, bitoz nyangema n.kView attachment 564432MICHEZO BURUDANI NA UDAKU
Na kwako pia joh..View attachment 564462Nawatakieni wote jumapili njema
Kule kijichi kwenu kule si mnapaitaga ushuani![]()
![]()
tangu ln mbagala pakawa ushuani
Shikamoo BabuWivu tu huo.... Mjukuu mwee wangu yuko makini
Hivi ulilala kweliii?Wazima
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wote wote wakeSio Obe tena.... Ameshahamia kwa toz?
mmhTeh teh teh... aaagg!! Husna umenikosha, enzi hizo tycoon ni tycoon kweli.. unarud mayenu hutoki hata jasho.. mie n mwanangu shululu..
Wakat huo morogoro road haina hata lami... siku zinaenda kweli..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Acha uchochezi mpendwa wa binamuHuu ushemela sio Wa nchi hii
Nahis shululu atazidiwa kete soon
Oii.. mbona mornie mornie...
Umekojoa kitandani nin??
Umemsaidia bitoz nyangema..
Tycoon MAKAVELI Jr.




Marhabbaaa mjukuu wangu... Umeamka salama wewe?Shikamoo Babu